About the Book
Kitabu
hichi ni kidoto kisichokuwa na mrengo na ni mlango wa herufi ya nuni wenye
kuufunua upotoshaji wa Mapinduzi ya Zanzibar na
kuukaribisha mustakbal mzuri wa Zanzibar, Tanzania, na Afrabia
Mpya kwa wakati mmoja.
Through its contents and symbolism, this book simultaneously opens
the door which sets free the understanding of the Zanzibar
Revolution and welcomes a new dispensation for a New Zanzibar,
Tanzania, and Afrabia.